Maandamano yamefanyika kuelekea ubalozi wa Israel mjiini Niirobi Kenya, kupinga mashambulizi yanayofanywa na majeshi ya Israel Ukanda wa Gaza. Maandamano hayo yalianza karibu na ofisi ya Waziri Mkuu na majengo ya bunge, na kuelekea ubalozi wa Israel.