Skip Global Navigation to Main Content
Skip Breadcrumb Navigation
Habari Kutoka Ubalozi

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Marekani azindua Kituo cha Wageni katika Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori ya Burunge;

5 Februari 2013
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Marekani azindua Kituo cha Wageni katika Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori ya Burunge. (Picha kwa hisani ya Ubalozi wa Marekani)

Asisitizia dhamira ya watu wa Marekani kusaidia jitihada za kukabiliana na ujangili katika kanda hii

 

Jumanne, Februari 5, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani wa Marekani David J. Hayes alikabidhi usimamizi wa kituo cha wageni katika hifadhi ya wanyamapori inayosimamiwa na jamii (Wildlife Management Area- WMA) ya Burunge, wilayani Babati, mkoani Manyara kwa Waziri wa Maliasili na Utalii. WMA ya Burunge inafadhiliwa na watu wa Marekani kwa kupitia Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID)... (Habari Zaidi)

Ripoti