Katika madai hayo muigizaji huyo anasema mtengenezaji flamu hiyo alimhadaa kwa kumwambia anaigiza kwenye filamu inayoonyesha maisha ya zamani Misri
Kikosi cha Umoja wa Afrika kikiwa na wanajeshi kutoka Uganda, Sudan Kusini na Jamhuri ya Afrika ya Kati kitaongozwa na Kanali Dick Olum wa Uganda kumsaka Joseph Kony
Rais wa chama hicho Bwana Fransis Stola amewaambia wanaandishi wa habari jijini Dare s as laam kuwa ili kuondoa kiwingu kinachoandama taasisi ya mahakama, rais wa Tanzania Jakaya Kikwete anapaswa kuuunda tume maalumu ambayo itakuwa na kazi ya kuchunguza uhalali wa majaji hao