Kiswahili Press Releases
Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari 2013
- Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Marekani azindua Kituo cha Wageni katika Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori ya Burunge; Asisitizia dhamira ya watu wa Marekani kusaidia jitihada za kukabiliana na ujangili katika kanda hii. (5 Februari 2013)
- Watu wa Marekani waungana na Watanzania kuwasaidia Watoto Walio Katika Mazingira Hatarishi (4 Februari, 2013)
- Balozi Lenhardt akutana na Rais Shein (23 Januari 2013)
- Hotuba ya Carson kuhusu Ubia kati ya Marekani na Afrika aliyoitoa katika ukumbi wa Wilson Center (January 18, 2013)
- Watu wa Marekani wasaidia Miradi ya Kitanzania ya Maendeleo ya Jamii (16 Januari 2013)
- Balozi wa Marekani katika Mashirika ya Umoja wa Mataifa yanayoshughulikia Chakula na Kilimo David J. Lane aongoza ziara iliyoangalia usalama wa chakula nchini Tanzania (12 January 2013)