Skip Navigation.

Kutafuta taarifa Dhidi ya ugaidi wa kimataifa

Tafutwa
Mullah Omar
Mpaka Tuzo ya Dola milioni 10


Urefu : Mrefu
Nywele : Mweusi
Jinsia : Mwanamme
Utaifa : Raia wa Afghanistan
Sifa : Ana jeraha kwenye jicho lake la kulia

Utawala wa Taliban wa Mullah Omar nchini Afghanistan ulimpa hifadhi Osama bin-Laden na mtandao wake wa al-Qaida miaka kadhaa kabla ya mashambulizi ya Septemba 11.

Licha ya Operation Enduring Freedom iliyouondoa utawala wa Taliban kutoka madarakani, Mullah Omar bado hajulikani alipo na bado ni tishio kwa Wamarekani na washirika wake.

Click here to listen to a Public Service Announcement about this terrorist