Skip Navigation.

Kutafuta taarifa Dhidi ya ugaidi wa kimataifa

Tafutwa
Adam Yahiye Gadahn
Mpaka Tuzo ya Dola milioni 1


Tarehe ya Kuzaliwa : Septemba 1 , 1978
Sehemu ya kuzaliwa : Marekani
Uraia : Mmarekani
Urefu : Futi 5 inchi 11 (sentimeta 180)
Uzito : Paundi 210 ( kilo 95)
Nywele : Kahawia
Macho : Kahawia
Jinsia : Mwanamme
Rangi : Maji ya kunde
Umbile : Wastani
Lugha : Kiarabu, Kiingereza
Makovu na Alama : Gadahn ana makovu kifuani na mkono wa kulia.
Majina bandia : Azzam al Amriki, Azzam Mmarekani, Abu Suhayb al Amriki, Abu Suhail al Amriki, Abu Suhayb, Yihya Majadin Adams, Adam Pearlman, Yayah

Adam Yahiye Gadahn alishtakiwa katika Central District ya California kwa uhaini na kwa kuiunga mkono al-Qaida. Mashtaka yanahusiana na tuhuma za kuhusika na vitendo kadhaa vya kigaidi, ikiwemo kuwapatia msaada na huduma kwa al-Qaida.

Click here to listen to a Public Service Announcement about this terrorist