Skip Navigation.

Kutafuta taarifa Dhidi ya ugaidi wa kimataifa

Kupambana na ufadhili wa ugaidi


Mwaka 2002, Serikali ya Marekani ilizindua kampeni ya tuzo ya kupambana na ufadhili wa ugaidi.

Ugaidi wa kimataifa unafadhiliwa na fedha wanazopelekewa magaidi na vyanzo kutoka kote duniani. Serikali ya Marekani hivi sasa inatoa tuzo ya dola mpaka milioni tano kwa habari itakayopelekea kuvunjwa kwa mfumo unaotumiwa kufadhili taasisi ya kigaidi.

Ili kuona bango lililotayarishwa kwa ajili ya mpango huu, tafadhali chagua picha zifuatazo: