Skip Navigation.

Seeking Information

Wanatafutwa Kwa Mauati Ya Halaiki


francais english kiSwahili lingala

Felicien Kabuga, Protais Mpiranya, Augustin Bizimana, Gregoire Ndahimana, Idelphonse Nizeyimana, Fulgence Kayishema, Bernard Munyagishari, Pheneas Munyarugarama, Aloys Ndimbati, Ladislas Ntaganzwa, Charles Ryandikayo, Charles Sikubwabo na Jean Bosco Uwinkindi wanatumiwa na Mahakama ya kimataifa ya mahuaji ya Rwanda kwa hujuma za ukiukaji wa haki za binadamu. Wamoja kati yao imesadikiwa yakuwamba wapo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Zawadi ya dola za Kimarekani milioni tano ($5 000 000) itatolewa kwa mutu yeyote atakaye janikisha kukamata na kuhukumiwa kwa yeyote kati ya watu hao hapo juu tafadhali wasiliana na idaro ya zawadi kwa haki kwa kutumia namba za simu anwani ya bama pepe hapo chini.
Taarifa za watu humiwa katika kingereza