Skip Navigation.

Kutafuta Habari Dhidi ya ugaidi wa kimataifa

Aliyenyongwa
Mir Aimal Kansi


Januari 5, 1993, Mir Aimal Kansi aliuwa watu wawili na kuwapatia majeraha ya kudumu wengine watatu. Aliwashambulia bila onyo au kuchokozwa, akitumia bunduki aina ya AK-47 kuyashambulia magari yaliyokuwa yamesimama kusubiri taa za barabarani mbele ya makao makuu ya Idara ya Ujasusi.

Kansi haraka alikimbia Marekani baada ya shambulizi na alikuwa mtoro mpaka alipokamatwa nchini Pakistani. Tarehe 10, Novemba 1997, Kansi alikutwa na hatia na baraza la mahakama huko Fairfax, Virginia, kwa mauaji ya wafanyakazi wawili wa CIA. Kansi alinyongwa Novemba 14, 2002.