Skip Navigation.

Kutafuta Habari Dhidi ya ugaidi wa kimataifa

Tuzo zilizolipwa


Mpango wa Tuzo kwa Haki umelipa zaidi ya dola milioni 100 kwa watu zaidi ya 60 ambao walitoa taarifa iliyozuia mashambulizi ya magaidi wa kimataifa au imesaidia kuwafikisha mbele ya sheria waliohusika na vitendo vya awali.

Kutokana na taarifa hii, watu wafuatao ni miongoni mwa wengine wengi wamefikishwa mbele ya sheria:

Uday Hussein
Qusay Hussein
Ramzi Ahmed Yousef
Mir Aimal Kansi
Hamsiraji Marusi Sali
Toting Craft Hanno
Muhsin Khadr al-Khafaji
Khamis Sirhan al-Muhammad
Muhammad Zimam Abd al-Razzaq al-Sadun
Khadaffy Janjalani
Abu Solaiman
Edgar Navarro

Watu majasiri waliokuwa na nia walijitokeza kwa taarifa ambazo pia zimesaidia kuzuia na kutatua mashambulizi ya kigaidi: