Skip Navigation.

Kutafuta Habari Dhidi ya ugaidi wa kimataifa

Anayetafutwa
Ramadan Abdullah Mohammad Shallah
Mpaka Tuzo ya Dola milioni 5


Tarehe ya Kuzaliwa : Januari 1, 1958
Sehemu Alikozaliwa : Sajaya, Ukanda wa Gaza
Umbile : Futi 6 inchi 1 (sentimeta 185 )
Uzito : Paundi 225 (kilo 102)
Nywele : Mweusi
Macho : Kahawia
Jinsia : Mwanamme
Rangi : Maji ya kunde
Urefu : Wastani
Utaifa : Raia wa Palestina
Lugha : Kiarabu, Kiingereza
Majina Mengine : Ramadan Shallah, Rashad, Mohamad el-Fatih, Mahmoud, Radwan, al-Shaer, Abu Abdullah, Ramadan Abdullah

Ramadan Abdullah Mohammad Shallah anatafutwa kwa njama za kuendesha shughuli za Palestinian Islamic Jihad (PIJ), kundi lililoundwa maalumu kwa ugaidi, kupitia mtindo wa harakati za kihalifu kama vile ulipuaji mabomu, mauaji, kupora kwa nguvu na biashara haramu ya mzunguko wa fedha.

Shallah alikuwa mmoja wa wanachama waanzilishi wa PIJ na tangu mwaka 1995 amekuwa katibu mkuu na kiongozi wa kundi, ambalo lina makao yake makuu Damascus, Syria.

Shallah aliorodheshwa kuwa ni "Gaidi Maalum" kwa mujibu wa sheria za Marekani Novemba 27, 1995 na alishtakiwa kwa makosa 53 nchini Marekani katika mahakama ya jimbo, katika wilaya ya kati ya Florida mwaka 2003.

Click here to listen to a Public Service Announcement about this terrorist