Skip Navigation.

Kutafuta Habari Dhidi ya ugaidi wa kimataifa

Anayetafutwa
Jamal Mohammad al-Badawi
Mpaka Tuzo ya Dola milioni 5


Tarehe ya Kuzaliwa : Julai 22, 1960 au Oktoba 23, 1960 au Oktoba 23, 1963
Sehemu Alikozaliwa : Al-Shargian, Makiras, Yemen
Urefu : Mwenye urefu unaokadiriwa kuwa futi 5 inchi 5 (sentimeta 165)
Uzito : Mwenye uzito unaokadiriwa kuwa Paundi 175 (kilo 79)
Nywele : Mweusi
Macho : Mweusi
Jinsia : Mwanamme
Rangi : Zeituni
Majina Mengine : Jamal Muhsin al-Tali, Abu Abdul Rahman al-Badawi, Abu Abdul Rahman al-Adani, Jamal Mohammad Ahmad Ali al-Badawi, Jamal Mohammad Ahmad

Mtu aliyetajwa hapo juu anatafutwa kuhusiana na shambulio la bomu la Oktoba 12, 2000, kwenye manowari ya USS Cole, huko Aden, Yemen. Shambulizi hilo lilisababisha vifo vya wanamaji 17 wa Kimarekani.

Mtu aliyeorodheshwa hapo juu ameshtakiwa kwa makosa yafuatayo:

Mauaji na njama za kuwaua raia na wanajeshi wa Marekani; njama za kutumia na matumizi ya silaha za maangamizi, uharibifu na kudhuru mali za serikali na vituo vya ulinzi; na kutoa vifaa kuyasaidia makundi ya kigaidi.

Click here to listen to a Public Service Announcement about this terrorist