Skip Global Navigation to Main Content
Skip Breadcrumb Navigation
Skip Left Navigation
Sera na Masuala
 

Jukumu la pamoja la Wizara ya Mambo ya Nje na Shirika la Misaada la Marekani (USAID) ni "kuimarisha uhuru kwa faida ya wananchi wa Marekani na jumuia ya kimataifa, kwa kusaidia kujenga na kuendeleza dunia ya kidemokrasia zaidi, iliyo salama zaidi na yenye ufanisi zaidi, na ambayo inahusisha mataifa yenye utawala mzuri, yanayoshughulikia mahitaji ya wananchi wao, yanayopunguza umaskini uliokithiri, na kuwajibika ndani ya mfumo wa kimataifa.